Skip to Content
MG AIR CARGO 🇨🇳 🇹🇿

Wababe wa aaanga
Bado tupo hapa china kwenye warehouse zetu
kuendelea kuangalia utendeji kazi.

Usisumbuke, MGlogistics ndio suluhisho lako. Uhakika wa mizigo, uhakika wa muda, na usalama thabiti wa mizigo yako kutoka China hadi Tanzania.

Weekly Air Freight Schedule

MG AIR CARGO 🇨🇳🇹🇿 — RATIBA WEEK HII NDEGE

Safari za ndege za moja kwa moja kutoka Guangzhou na Hong Kong kuja Dar es Salaam na Zanzibar. Fuatilia tarehe za kupokea, kuondoka na kutua.

NORMAL ITEMS

→
TUPO WAZI

✈️ Submit Day 02-11-2026
🛫 Trip Start 04-11-2026
📦 Arrival 10-11-2026
Wasiliana mapema kabla ya deadline Weka Mzigo Hapa
EXPLOSIVE / BATTERY ITEMS

→
TUPO WAZI

✈️ Submit Day 03-11-2026
🛫 Trip Start 06-11-2026
📦 Arrival 20-11-2026
Wasiliana mapema kabla ya deadline Weka Mzigo Hapa
NORMAL ITEMS

→
TUPO WAZI

✈️ Submit Day 05-11-2026
🛫 Trip Start 07-11-2026
📦 Arrival 13-11-2026
Wasiliana mapema kabla ya deadline Weka Mzigo Hapa
EXPLOSIVE / BATTERY ITEMS

→
TUPO WAZI

✈️ Submit Day 06-11-2026
🛫 Trip Start 09-11-2026
📦 Arrival 24-11-2026
Wasiliana mapema kabla ya deadline Weka Mzigo Hapa
TAARIFA MUHIMU

📌 MAELEKEZO MUHIMU KWENYE MZIGO WAKO

Tafadhali hakikisha mzigo wako unapotumwa kwenye warehouse zetu za China una taarifa hizi tatu (3) muhimu zilizoandikwa kwa uwazi:

1️⃣ Jina Lako

Weka jina lako kamili au Shipping Mark unayotambulika nayo.

2️⃣ Namba Yako ya Simu

Namba ya simu inayopatikana WhatsApp kwa ajili ya taarifa za mzigo.

3️⃣ Unakwenda Wapi

Taja eneo: Dar es Salaam, Zanzibar, au mkoa mwingine.

Office kwa Upande wa Tanzania

  • Dar es Salaam: Mtaa wa Lumumba na Pemba
    Above Semvua Enterprises, jirani na Amana Bank (Benki yako Kiganjani)
  • Zanzibar: Thabit Kombo Mall
    Huduma zote za parcel release, Airport customs & delivery Unguja na Pemba.
Uhakika wa Mizigo • Uhakika wa Muda
Usalama na uhakika ni jukumu letu. Usisumbuke, MGlogistics ndio suluhisho lako.

Wasiliana Nasi — MGLogisticsltd

Tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp kwa maswali, bei za kilo (rates), na booking ya nafasi ya mzigo wako:

MGLogisticsltd • Guangzhou 🇨🇳 & Dar es Salaam / Zanzibar 🇹🇿